Install this app on your device for quick access and a full-screen experience.
Hassle-free venue booking and state-of-the-art facilities.
Amani Garden ni sehemu nzuri kwa ajili ya sherehe mbalimbali tunapatikana karibu na Mlimani city
up to 600 guests
Ukumbi wetu unapatikana Jangwani beach opposite na Ramada resort
Ukumbi wetu ni wa wazi ambao unaweza kutumika kwa sherehe mbalimbali.
Ukumbi wetu ni mzuri unachukua watu wengi unapatikana Sinza Mori
Ukumbi wetu ni mzuri sana na unachukua watu wengi unapatikana Tegeta Barabara ya Bagamoyo