Install this app on your device for quick access and a full-screen experience.
Hassle-free venue booking and state-of-the-art facilities.
Ukumbi wetu ni mzuri sana na unachukua watu wengi unapatikana Goba center Barabara ya makongo juu
up to 700 guests
Garden yetu ni ya kisasa inayoweza kutumika kwa sherehe mbalimbali
Ukumbi wetu unapatikana ndani ya jengo la hotel ya Serena
Ukumbi wa kisasa wa sherehe za aina mbalimbali kama harusi, sendoff, kitchen party, birthday etc
Ukumbi wetu ni wa kisasa unaoweza kutumika kwa mikutano mbalimbali