Install this app on your device for quick access and a full-screen experience.
Hassle-free venue booking and state-of-the-art facilities.
Ukumbi wetu ni mzuri ambao unaweza kutumika kwa mikutano mbalimbali.
up to 70 guests
Ukumbi wetu ni wa kisasa unapatikana kimara temboni karibia na kituo cha mabasi kimara temboni.
Ukumbi mzuri sana na wa kisasa ambao una mazingira mazuri na unaweza kutumika kwa sherehe mbalimbali
Ukumbi wetu ni wa kisasa unaoweza kutumika kwa mikutano mbalimbali
Ukumbi unapatikana Kimara mwisho Bonyokwa kwa Mashaka