Install this app on your device for quick access and a full-screen experience.
Hassle-free venue booking and state-of-the-art facilities.
Ukumbi wetu ni mkubwa wenye kutosha watu wengi unapatikana oyster bay bara bara ya al hassan mwinyi
up to 1300 guests
Ukumbi wetu ni wa kisasa unapatikana ndani ya jengo la hotel ya Lush
Ukumbi upo mkabala na barbara iyendayo kituo cha mabasi cha maghufuri karibu na round about ya goba
Ukumbi wetu ni wa kisasa unapatikana mkoani Ruvuma maalumu kwa ajili ya sherehe mbalimbali
Garden hall yetu ni ya kisasa inayoweza kutumika Kwa sherehe mbalimbali