Install this app on your device for quick access and a full-screen experience.
Hassle-free venue booking and state-of-the-art facilities.
Ukumbi wetu ni wa wazi wenye garden nzuri iliyokuwa na maua mazuri ya kupendeza
up to 500 guests
Ukumbi wetu ni wa kisasa unaoweza kutumika kwa sherehe mbalimbali
Garden yetu ni nzuri na ya kisasa yenye mandhari nzuri ambayo inaweza kutumika kwa sherehe mbalimbal...
Ukumbi wa kisasa wa sherehe za aina mbalimbali kama harusi, sendoff, kitchen party, birthday etc
Ukumbi wetu ni mzuri sana na unachukua watu wengi unapatikana Tegeta Barabara ya Bagamoyo